Hissan Muya
Mandhari
| Hissan Muya | |
|---|---|
| Amezaliwa | Hissan Muya |
| Kazi yake | Mwigizaji Mwongozaji Mtayarishaji |
Hissan Muya ni mwigizaji, mtayarishaji na mwongozaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anafahamika sana kwa uhusika wake wa "Tino" kutoka katika filamu mbalimbali. Miongoni mwa filamu alichocheza ni pamoja na: Mimi na Mungu Wangu, Mr.Nobody, Justice on a Trap, Shoga Yangu, Siri ya Kijiji na Damu Moja.[1][2]
Baadhi ya filamu alizocheza
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Hissan Muya Ilihifadhiwa 18 Mei 2013 kwenye Wayback Machine. katika wavuti ya Bongo Cinema.com
- ↑ Mitazama tofauti kuhusu filamu ya Shoga Yangu ya Tino katika blogu ya Zamaradi Mketema.