Nenda kwa yaliyomo

Hirokazu Yasuda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hirokazu Yasuda(alizaliwa Mei 31, 1936) ni mchezaji mstaafu nchini Japani ambaye alishiriki Michezo ya Olimpiki ya mwaka 1964.Alishinda medali mbili za shaba katika mbio za mita 110 kuruka viunzi kwenye michezo ya Asia.[1]

  1. Hirokazu Yasuda. sports-reference.com
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hirokazu Yasuda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.