Hifadhi ya Taifa ya Outamba-Kilimi
Mandhari
Hifadhi ya Taifa ya Outamba-Kilimi, iko kaskazini magharibi mwa Sierra Leone karibu na mpaka na Jamhuri ya Guinea . Hifadhi imegawanywa katika maeneo mawili, Outamba (741 km²) na Kilimi (368 km²). Eneo hili lilitangazwa kuwa kuwa hifadhi mwaka 1974, na lilitangazwa rasmi kama Hifadhi ya Taifa mnamo Oktoba 1995. [1]
Hifadhi hiyo imepewa jina la kilele chake cha juu zaidi katika sehemu moja, Mlima Outamba, na mto wake mrefu zaidi kulito mingine, Mto Kilimi. Awali eneo hilo lilichaguliwa kwa ajili ya kuhifadhiwa kwani lina idadi kubwa ya sokwe na mimea katika msitu wa savanna.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Picha za Hifadhi ya Taifa ya Outamba-Kilimi
- Maelezo ya mbuga na Sokwe Archived 9 Agosti 2009 at the Wayback Machine.
- Karatasi Muhimu ya Eneo la Ndege
- Watu wa Susu
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ P G Munro,“Geza Teleki and the emergence of Sierra Leone’s wildlife conservation movement” Primate Conservation: 29(2015): 115-122.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Outamba-Kilimi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |