Hifadhi ya Taifa ya Liuwa Plain
Mandhari
Hifadhi ya Taifa ya Liuwa Plain, ina eneo la kilomita za mraba 3,369 za mbuga ya wanyama katika Mkoa wa Magharibi wa Zambia . [1] "Liuwa" maana yake ni "tambarare" katika lugha ya Walozi. [2]Haya ni maeneo yaliyo hifadhiwa kwa ajili ya utunzi wa mazingira na uekezaji was kimbilio la watalii. Pia huitwa mfarani au mfani.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Kabla ya mbuga ya taifa kuanzishwa, eneo hilo lilitumika kama uwanja wa uwindaji wa Lubosi Lewanika (1842-1916), ambaye alikuwa Litunga (mfalme au chifu mkuu ) wa watu wa Lozi huko Barotseland kati ya 1878 na 1916. Lubosi Lewanika aliteua Liuwa Plain kama eneo lililohifadhiwa mwanzoni mwa miaka ya 1880. [3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Twenty destinations for 2014: Liuwa Plain National Park, Zambia", The Daily Telegraph, London: Telegraph Media Group, 2 January 2014. Retrieved on 16 October 2017.
- ↑ "Getting Ahead of Myself on Trip to Paradise", Cape Times, Cape Town: Sekunjalo Investments, 7 September 2012. Retrieved on 19 October 2017. Archived from the original on 2018-03-30.
- ↑ Reinstein, Dorine (29 Desemba 2016). "Wildebeest migration just one of the wonders of Zambia's Liuwa Plains". Travel Weekly. Secaucus, New Jersey: Northstar Travel Media. ISSN 0041-2082. Iliwekwa mnamo 16 Oktoba 2017.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |