Nenda kwa yaliyomo

Hifadhi ya Taifa ya Altos de Nsork

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hifadhi ya Taifa ya Altos de Nsork ( Kihispania: Parque nacional de Los Altos de Nsork ) inapatikana katika Guinea ya Ikweta .

Ilianzishwa mwaka 2000. Hifadhi hiyo ina ukubwa wa kilomita za mraba 700 . [1] Eneo hilo limepakana upande wa magharibi na Mto Abang, na upande wa mashariki na kusini na barabara, kuna barabara chache katika hifadhi hiyo. [2]

Mbuga hii ni makazi ya wanyama wengi wa porini wanaoifanya kuwa maarufu katika misitu inayozunguka Gabon, kama vile sokwe, mnyama aina ya black colobus, mandrels, nyati wa msituni na nguruwe wekundu. [3]


  1. "Altos de Nsork National Park". ProtectedPlanet.net. World Database on Protected Areas. Iliwekwa mnamo 3 Januari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "National Parks and Protected Areas". Ikuska. Iliwekwa mnamo 22 Machi 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Guides, Bradt. "Altos de Nsork National Park". Bradt Guides (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2020-08-25.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Altos de Nsork kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.