Herborn
Mandhari

| Herborn | |
| Nchi | Ujerumani |
|---|---|
| Jimbo | Hesse |
| Tovuti: www.herborn.de | |
Herborn ni mji wa Hesse nchini Ujerumani. Umbali na Jiji la Frankfurt am Main ni 15 km.
Trafiki
[hariri | hariri chanzo]Kuna huduma za treni za eneo kutoka Frankfurt/Main - Siegen, zamani ilikuwa na huduma za treni za eneo ya mstari Westerwaldquerbahn pia (Montabaur - Wallmerod - Westerburg - Rennerod - Herborn).
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Herborn kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
