Hengelo (Overijssel)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru






Hengelo
Kanisa ya St. Lambertus kwenye kitovu cha Hengelo
Kanisa ya St. Lambertus kwenye kitovu cha Hengelo
Kanisa ya St. Lambertus kwenye kitovu cha Hengelo

Bendera

Nembo
Hengelo is located in Uholanzi
Hengelo
Hengelo

Mahali pa mji wa Hengelo katika Uholanzi

Majiranukta: 52°16′0″N 6°47′0″E / 52.26667°N 6.78333°E / 52.26667; 6.78333
Nchi Uholanzi
Mkoa Overijssel
Idadi ya wakazi (2008)
 - Wakazi kwa ujumla 81,051
Mfereji wa Twente unaopita katikati ya Hengelo

Hengelo ni mji katika mkoa wa Overijssel nchini Uholanzi. Idadi ya wakazi wake ni takriban 81,051. Hengelo pia ni jina la kijiji katika manispaa ya Bronckhorst, mkoa wa Gelderland.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uholanzi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hengelo (Overijssel) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.