Nenda kwa yaliyomo

Helule Helule

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Helule Helule ni muziki wa Kiswahili ulioandikwa na mwanamuziki wa Kenya afahamikaye kama Daudi Kabaka. Muziki huo uliachiwa kama muziki mmoja na Kabaka na mwanamuziki mwenzie wa Kenya ajulikanaye kama George Agade mnamo mwaka 1966 kupitia Rekodi ya Equator.[1][2]

Japokuwa muziki ulijulika vyema kama muundo mpya kwenye kikundi cha Uingereza cha Tremeloes, ambao walitunza nakala halisi na korasi zake zikaongezewa mistari ya Kiingereza, na kuifanya kuwa muziki wa ishirini kwenye kali za kule Ufalme wa Muungano mnamo Mei 1968[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Eagleson, Ian (2014). "Between Uptown and River Road: The Making and Undoing of Kenya's 1960s "Zilizopendwa"". The World of Music. 3 (1): 25–45. ISSN 0043-8774.
  2. "EQUATOR RECORDS". www.kentanzavinyl.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-09-30. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.
  3. "TREMELOES | full Official Chart History | Official Charts Company". www.officialcharts.com. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.