Nenda kwa yaliyomo

Heinz Ulzheimer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Heinz Ulzheimer (Desemba 27, 1925 - Desemba 18, 2016) alikuwa mtu wa Ujerumani ya Magharibi ambaye alishiriki katika mbio za mita 800. Alizaliwa huko Höchst, alishiriki katika mbio za mita 800 kwa Ujerumani kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 1952 iliyofanyika Helsinki, Ufini, ambapo alishinda medali ya shaba, aliisaidia timu ya Ujerumani katika mbio za kupokezana za mita 4 x 400 ambapo alishinda medali ya shaba akiwa na wachezaji wenzake Hans Geister, Günther Steines na Karl-Friedrich Haas.Alifariki akiwa na umri wa miaka 90 mwaka 2016.[1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Heinz Ulzheimer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.