Nenda kwa yaliyomo

Hector Pieterson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hector Pieterson (19 Agosti 196316 Juni 1976) alikuwa mwanafunzi wa Afrika Kusini alieuliwa kwa kupigwa risasi wakati wa maandamano ya wanafunzi katika kitongoji cha Soweto mwaka 1976, mauaji yaliyosababishwa na polisi kufyatua risasi za moto dhidi ya waandamanaji wanafunzi wa Kiafrika.[1]

Sam Nzima ndiye aliyejitolea kuubeba mwili wa Pieterson baada ya kupigwa risasi na dada yake Hector alionekana katika picha akikimbia pamoja na Nzima, siku ya mauaji ya mwanafunzi huyo pamoja na wanafunzi wengine hukumbukwa nchini Afrika Kusini kama siku ya vijana lakini nchini Tanzania siku hii huitwa Siku ya Mtoto wa Afrika na huadhimishwa katika nchi nyingi duniani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://dx.doi.org/10.5040/9781501330483.ch-016%7Cjournal=The Bloomsbury Handbook of Rock Music Research|doi=10.5040/9781501330483.ch-016}}
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hector Pieterson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.