Hayley Ladd

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ladd akiwa na Wales mnamo Septemba 2015

Hayley Elizabeth Ladd ( (alizaliwa 6 Oktoba 1993)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Welisi,ambae anacheza kama kiungo au beki wa klabu ya Manchester United F.C. inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Welisi.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Shekicks - Women's Football Interviews: Born Kicking - Hayley Ladd". web.archive.org. 2014-08-26. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-08-26. Iliwekwa mnamo 2024-04-29. 
  2. "News". FAW (kwa en-US). 2024-04-29. Iliwekwa mnamo 2024-04-29. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hayley Ladd kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.