Hayate Matsuda
Mandhari
Hayate Matsuda (alizaliwa 2 Oktoba 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambaye anacheza kama beki wa kushoto wa Hannover 96 II, kwa mkopo kutoka Mito HollyHock. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hayate Matsuda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |