Hawa N'Diaye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hawa N'Diaye (alizaliwa 24 Julai 1995) ni mwanamke mchezaji wa mpira wa mkono kutoka Senegal anayechezea klabu ya Gloria Buzău pamoja na timu ya taifa ya Senegal.[1]

Alishiriki katika Mashindano ya Dunia ya Mpira wa Mkono ya Wanawake ya 2019 huko Japan.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Hawa N'Diaye EHF Profile". European Handball Federation. Iliwekwa mnamo 1 June 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Team Details Senegal – Hawa N'Diaye". International Handball Federation. 
  3. "2019 Women's World Handball Championship; Japan – Team Roster Senegal". International Handball Federation. Iliwekwa mnamo 1 June 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hawa N'Diaye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.