Nenda kwa yaliyomo

Hauwa Muhammed Sadique

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hauwa Muhammed Sadique
Nchi Nigeria
Kazi yake Mhandisi

Hauwa Muhammed Sadique (alizaliwa 6 Februari 1969) ni mhandisi wa nchini Nigeria na rais wa 14 wa chama cha wahandisi wanawake wa nchini Nigeria (APWEN).[1] Hauwa ni raisi wa kwanza wa chama hicho akitokea ukanda wa kaskazini mwa Nigeria.[2]

Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Hauwa alizaliwa kwenye familia ya Muhammed Abubakar, na mfanyabiashara Amina Muhammed Shuwa.[3] Hauwa amezaliwa katika Jimbo la Borno, Nigeria.

Alisoma katika Shule ya Msingi ya Jeshi la Watoto mjini Kaduna mwaka 1976. Amesoma katika Chuo cha Queen Amina. Alipata stashahada ya kitaifa ya Teknolojia ya Uhandisi wa Kilimo na baadaye alipata shahada ya uhandisi mwaka 1994 kutoka Chuo Kikuu cha Maiduguri. Alipata Shahada ya pili ya Uchumi kwenye Chuo Kikuu cha Bayero mwaka 2005.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Female engineers storm Wilson Group Nsukka factory". The Sun Nigeria. 31 Agosti 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Tofa, Aysha (18 Februari 2017). "The story behind Startup Kano's Women Founders Conference". She Leads Africa.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Page 211". My Engineers (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-05-29.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hauwa Muhammed Sadique kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.