Hati (lugha ya programu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hati inaandikwa kwa lugha ya programu inaitwa JavaScript.

Katika utarakilishi, hati (kwa Kiingereza: script of programming language) ni waraka pepe unaotumika ili kutekeleza kazi kwenye lugha ya programu. Kwa kawaida, mwanaprogramu anaandika hati ili kutunza msimbo wake.

Mifano ya hati[hariri | hariri chanzo]

Hati kwa kuchapa "Jambo Ulimwengu !" kwa C++ :

#include <iostream>

int main()
{
    using std::cout;

    cout << "Jambo ulimwengu !" << std::endl;
}

void foo()
{
    std::cout << "Jambo ulimwengu !" << std::endl;
}

Hati kwa kupata factoria ya namba moja kwa PHP :

<html>  
    <head>  
    <title>Programu kwa kupata factoria</title>  
    </head>  
    <body>  
    <form method="post">  
        Ingia namba:<br>  
        <input type="number" name="number" id="number">  
        <input type="submit" name="submit" value="Submit" />  
    </form>  
    <?php   
        if($_POST){  
            $fact = 1;  
            //getting value from input text box 'number'  
            $number = $_POST['number'];  
            echo "Factoria ya $number:<br><br>";  
            //start loop  
            for ($i = 1; $i <= $number; $i++){         
                $fact = $fact * $i;  
                }  
                echo $fact . "<br>";  
        }  
    ?>  
    </body>  
    </html>

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)