Hasret Kayikçi
Mandhari
Hasret Kayikçi (alizaliwa 6 Novemba 1991) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Ujerumani ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya wanawake ya SC Freiburg na timu ya taifa ya wanawake nchini Ujerumani.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "SC Freiburg brings Hasret Kayikci". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-12-21. Iliwekwa mnamo 2022-05-08.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hasret Kayikçi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |