Harold Rahm
Mandhari
Harold Joseph Rahm (22 Februari 1919 – 30 Novemba 2019) alikuwa kasisi wa Kanisa Katoliki na Mjesuiti maarufu kwa kazi yake na magenge na vijana wa mjini huko El Paso, Texas, Marekani.
Baadaye alienda Campinas, Brazil, ambako aliongeza juhudi zake za kuzuia na kutibu uraibu wa dawa za kulevya na kupokea sifa nyingi kwa mipango yake.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Catalogue, Jesuits of Canada & USA, 2015, p. 349.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |