Nenda kwa yaliyomo

Halifax, Nova Scotia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Halifax
Nchi Kanada
Jimbo Nova Scotia
Wilaya Halifax Regional Municipality
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 282,924
Tovuti:  www.halifax.ca

Nova Scotia

Mji wa Halifax, Nova Scotia
Nova Scotia

Halifax ndio mji mkuu wa jimbo la Nova Scotia nchini Kanada.


Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 407,000 wanaoishi katika humo.

Mji upo mita 0-145 juu ya usawa wa bahari.

Halifax ina jamii mbalimbali za kimataifa: Lugha kuu ni Kiingereza, kikifuatwa na Kifaransa.

Upande wa dini, karibu 3/4 ni Wakristo wa madhehebu mbalimbali.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Halifax, Nova Scotia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.