Haissa Mariko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Haissa Hima ajulikanaye zaidi kama Haissa Mariko (alizaliwa 26 Julai 1951) alikuwa mwanamke wa kwanza mtumiaji wa parachuti nchini Niger.[1]

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Haissa Mariko aliingia katika Jeshi la Niger mwaka 1966 na kupokea diploma yake katika urukaji kwa parachuti tarehe 20 Februari 1967. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Haissa Mariko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.