Hafidh Ali Tahir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Marehemu Hafidh Ali Tahir (amezaliwa tarehe 30 Oktoba 1953 -9 Novemba 2016) aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Dimani katika Bunge la Tanzania.[1] Alikuwa ni Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM.[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Hafidh Ali Tahir (19 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
  2. Habari za kifo cha Hafidh Ali Tahir