Hadar, Ethiopia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo la Utawala 1 (Mkoa wa Afar), Uhabeshi

Hadar (pia imeandikwa Qad daqar, Qadaqar; kwa Kiafar "nyeupe [ qidi ] mkondo [ daqar ]") [1] ni eneo la palantolojia katika wilaya ya Mille, Eneo la utawala 1 la Mkoa wa Afar, Ethiopia, takribani km 15 kinyume na mkondo wa mto (magharibi) ya daraja la A1 juu ya Mto Awash (Adayitu kebele ).

"Lucy," moja ya visukuku maarufu vya hominin, ni kisukuku cha Australopithecus afarensis kilichogunduliwa huko Hadar, Ethiopia na Donald Johanson mnamo 1974.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Jon Kalb Adventures in the Bone Trade (New York: Copernicus Books, 2001), p. 83
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hadar, Ethiopia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.