Nenda kwa yaliyomo

Gyakie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gyakie
Gyakie
Gyakie
Alizaliwa 16 Disemba 1998
Nchi Ghana
Kazi yake Mwimbaji

Jackline Acheampong (amezaliwa 16 Disemba 1998) anayejulikana kitaaluma kama Gyakie ni mwimbaji kutoka Ghana wa afrobeat /afro. [1] [2] [3] Mnamo 2019, Gyakie alitoa wimbo wake wa kwanza unaoitwa; "Love is Pretty" ambao ulifungua njia kwa wimbo mwingine, "Never Like This." Mnamo Agosti 2020, wimbo wa "Forever" kutoka kwa EP yake ya nyimbo tano, unayoitwa " Seed " na zilichezwa hewani kwenye chati zinazoongoza nchini Ghana, Kenya na Nigeria . Baba ya Gyakie ni Nana Acheampong . [1] [2] [3] [4]

Gyakie alizaliwa katika familia ya wanamuziki na alipokuwa na umri wa miaka minane, alikuwa ameanza kujiunga na babake studio. [1] Alishawishiwa pia hasa na mwanamuziki wa Ghana Omar Sterling wa R2Bees . [1]

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 Barnes, Ekow. "Ghanaian Singer Gyakie Is Making African R&B While In College". Teen Vogue (kwa American English). Iliwekwa mnamo 22 Machi 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 Owusu-Amoah, Gifty (25 Oktoba 2020). "No pressure to maintain my dad's legacy — Gyakie". Graphic Online. Iliwekwa mnamo 22 Machi 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. 3.0 3.1 Sam, Derrick Ekow (27 Februari 2021). "'I want to fill the biggest auditorium' - Gyakie shares her dreams". My Joy Online. Iliwekwa mnamo 22 Machi 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Okirike, Nnamdi (25 Agosti 2020). "Interview: Introducing Gyakie, A Highlife Legend's Daughter". OkayAfrica. Iliwekwa mnamo 22 Machi 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gyakie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.