R2Bees
R2Bees |
---|
R2Bees ni kundi la muziki wa hip hop wa Ghana na mshabiki wa maisha ya hiplife kutoka huko Tema ambayo imeundwa na binamu wawili, Faisal Hakeem (Paedae da Pralem/Omar Sterling) na Rashid Mugeez (Mugeez). Walitunukiwa tuzo kwenye tamasha la 2013 BET Awards.[1] Mnamo mwezi Machi mwaka 2019, kikundi hicho kilitoa alibamu [2] yao ya 3 ifahamikayo kwa jina la Site 15.[3]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "R2bees nominated for BET awards". 14 May 2013. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 14 May 2013. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "R2BEES LAUNCHES IT SECOND ALBUM: THE REVOLUTION II", Modern Ghana (kwa en-US), iliwekwa mnamo 2023-02-26
- ↑ "3rd studio album, Site 15". Iliwekwa mnamo 16 March 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help)
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |