Nenda kwa yaliyomo

Guro Reiten

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Guro Reiten mnamo 2023

Guro Reiten (alizaliwa 26 Julai 1994)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Norwei ambaye anacheza kama winga katika klabu ya Chelsea F.C. ya Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL) na timu ya taifa ya Norwei. Kabla ya kujiunga na Chelsea mnamo 2019 [2], alicheza huko Norwei katika vilabu tofauti vikiwemo Sunndal[3], Kattem [4], Trondheims-Ørn [5], na LSK Kvinner.[6]

Aliichezea Norwei kwa mara ya kwanza mwaka wa 2014 na akicheza mashindano ya UEFA ya 2017, Kombe la Dunia la FIFA la 2019, Mashindano ya UEFA 2022, na Kombe la Dunia la FIFA 2023.

  1. "Guro Reiten | Official Site | Chelsea Football Club". web.archive.org. 2022-05-17. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-05-17. Iliwekwa mnamo 2024-04-20. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |dead-url= (help)
  2. "Kerr named PFA Player of the Year and five Blues in Team of the Year". www.chelseafc.com (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2024-04-20.
  3. Knut Espen Svegaarden (2018-12-01). "Lillestrøm-stjernen Guro Reiten: Nå er «Knotten» blitt den største av dem alle". VG (kwa Kinorwe). Iliwekwa mnamo 2024-04-20.
  4. "På landslaget tidligere enn planlagt". web.archive.org. 2019-05-31. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-31. Iliwekwa mnamo 2024-04-20. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  5. Egil Sande (2018-04-28). "Jenta med gullfoten". Nettavisen (kwa Kinorwe). Iliwekwa mnamo 2024-04-20.
  6. "Guro Reiten klar for engelsk storklubb". www.aftenposten.no (kwa Kinorwe cha Bokmal). 2019-05-31. Iliwekwa mnamo 2024-04-20.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Guro Reiten kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.