Granit Xhaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Granit Xhaka Akiwa amevaa jezi ya timu yake ya taifa ya uswiss

Granit Xhaka (alizaliwa tarehe 27 Septemba 1992) ni mchezaji wa soka anayetokea taifa la Uswisi anayecheza kama kiungo wa timu ya Arsenal iliyopo Uingereza.

Xhaka alianza kucheza katika timu iitwayo FC BASEL, na aliweza kusaidia timu yake kushinda kombe la swiss super ligi. na aliweza kuhamia ujerumani kwenye ligi itwayo bundesliga kwenye timu iitwayo Borussia Monchengladbach mwaka 2012 na baadae aliweza kuwa nahodha wa tomu hiyo mwaka 2015 na baadae akahamia Arsenal mwaka 2016.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Granit Xhaka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.