Nenda kwa yaliyomo

Grace Mukomberanwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Grace Mukomberanwa (amezaliwa 1944) ni mchonga sanamu kutoka Zimbabwe.

Mukomberanwa ni kizazi cha kwanza cha wachonga sanamu wa mawe wa Sanaa ya Kishona. Alikuwa mke wa mchonga sanamu maarufu wa kizazi cha kwanza Nicholas Mukomberanwa. Wote walifunzwa katika Sanaa ya uchongaji sanamu wa mawe wakawafunza watoto wao ufundi huohuo. Alikuwa mmoja wa wanawake walioongoza uchongaji sanamu nchini Zimbabwe. Kazi zake zimekuwa zikioneshwa katika nyumba za Sanaa ulimwenguni kote.[1]

Ni mmoja wa wanafamilia wa Mukomberanwa, ambao ni wachonga sanamu maarufu.[2] Mukomberanwa alikuwa mke wa Nicholas Mukomberanwa. Mama wa watoto wa kiume Anderson Mukomberanwa|Anderson, Lawrence Mukomberanwa, Tendai Mukomberanwa|Tendai, Taguma Mukomberanwa|Taguma, Watoto wa kike Netsai Mukomberanwa|Netsai, and Ennica Mukomberanwa, na shangazi wa Nesbert Mukomberanwa, ambao wote ni wachonga sanamu.

  1. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Machi 2016. Iliwekwa mnamo 26 Januari 2012.{{cite web}}: CS1 maint: archived copy as title (link) CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. http://www.herald.co.zw/inside.aspx?sectid=508&cat=10

Viungo Vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Grace Mukomberanwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.