Gombakanzu
Mandhari
Gombakanzu | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Gombakanzu au majani ya Pemba (Stenotaphrum dimidiatum) ni spishi ya nyasi katika nusufamilia Panicoideae. Nyasi hili huunda matabaka mazito ya manyasi, mara nyingi kwa pwani. Kwa sababu ya hiyo spishi hii na spishi ndugu S. secundatum hupandwa katika nyua.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Taarifa kutoka PROTA Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- Taarifa kutoka Kew Gardens