Gof Dukana
Mandhari
Gof Dukana ni kasoko ya volkeno yenye kimo cha mita 750 juu ya UB. Volikano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Marsabit, Kenya[1][2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ www.volcanolive.com
- ↑ http://wikimapia.org
| Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gof Dukana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |