Nenda kwa yaliyomo

Gof Barachuma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gof Barachuma ni kasoko ya volkeno yenye kimo cha mita 764 juu ya UB. Volikano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Marsabit, Kenya[1][2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. www.volcanolive.com
  2. http://wikimapia.org