Nenda kwa yaliyomo

Goeku Chōsei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Goeku Ueekata Chōsei (23 Desemba 1621-1 Mei 1695) pia anajulikana kwa jina lake la mtindo wa Kichina Shō Mizai (向 美材), alikuwa mrasmi wa Ufalme wa Ryukyu.[1]

  1. "Goeku Chōsei." Okinawa konpakuto jiten (沖縄コンパクト事典, "Okinawa Compact Encyclopedia").
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Goeku Chōsei kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.