Nenda kwa yaliyomo

Godana Doyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Godana Doyo ni mwanasiasa wa Kenya ambaye alikuwa gavana wa kwanza katika kaunti ya Isiolo kutoka 2013 hadi 2017, alichaguliwa kama mwanachama wa chama cha jamhuri ya muungano (kabla ya kujiunga na Chama cha Jubilee).

Doyo alishindwa katika azma yake ya kuchaguliwa tena, wakati huu kama mwanachama wa chama cha maendeleo na mageuzi, na Mohammed Kuti.Pia Doyo aliondolewa kesi zote zilizowasilishwa na tume ya maadili na kupambana na ufisadi.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Doyo charged with abuse of office". Daily Nation (kwa Kiingereza). 13 Septemba 2017. Iliwekwa mnamo 2018-06-26.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "DPP gets green light to charge ex-Isiolo governor with abuse of". Business Daily. 18 Juni 2018. Iliwekwa mnamo 2018-06-26.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Uhuru meets with Isiolo Jubilee party leaders".