Nenda kwa yaliyomo

Go-Sanjo wa Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Go-Sanjo

Go-Sanjo (3 Septemba, 103415 Juni, 1073) alikuwa mfalme mkuu wa 71 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Takahito, na alikuwa mwana wa pili wa Tenno Go-Suzaku. Mwaka wa 1068 alimfuata kaka yake, Tenno Go-Reizei, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1073, miezi michache kabla ya kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake, Shirakawa.

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Sanjo wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.