Gloria Foster
Mandhari
Gloria Foster | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Gloria Foster |
Alizaliwa | 15 Novemba 1933, Chicago, Illinois Marekani |
Kafariki | 29 Septemba 2001 |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1964 hadi 2001 |
Gloria Foster (15 Novemba 1933 – 29 Septemba 2001) alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa jina la Oracle kutoka katika mfululizo wa filamu ya Matrix 1 na 2. Bi. Gloria alifarika dunia mnamo tarehe 29 ya mwezi wa Septemba, kwa ugonjwa wa kisukari. Na akazikwa katika makaburi ya Cypress Hills mjini Brooklyn-Marekani.
Filamu alizoziigiza Bi. Gloria Foster
[hariri | hariri chanzo]- The Matrix Reloaded (2003) kaiigiza kama The Oracle
- The Matrix (1999) kaiigiza kama The Oracle
- City of Hope (1991) kaiigiza kama Jeanette
- Leonard Part 6 (1987) kaiigiza kama Medusa
- Man and Boy (1972) kaiigiza kama Ivy Revers
- The Angel Levine (1970) kaiigiza kama Sally
- The Comedians (1967) kaiigiza kama Mrs. Philipot
- Nothing But a Man (1964) kaiigiza kama Lee
- The Cool World (1964) kaiigiza kama Mrs. Custis
Mfululizo wa televisheni
[hariri | hariri chanzo]- Percy & Thunder (1993) kaiigiza kama Sugar Brown
- Separate But Equal (1991) kaiigiza kama Buster
- The Atlanta Child Murders (1985) (miniseries) kaiigiza kama Camille Bell
- House of Dies Drear (1984) kaiigiza kama Sheila Small
- The Files on Jill Hatch (1983) kaiigiza kama Mrs. Hatch
- Top Secret (1978) kaiigiza kama Judith
- To All My Friends on Shore (1972) kaiigiza kama Serena
Marejeo ya nje
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gloria Foster kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |