Giovanni Knapp
Mandhari
Giovanni Knapp (28 Julai 1943 – 21 Februari 2021) alikuwamwendesha baiskeli kutoka Italia. Alishinda hatua ya 4 ya Giro d’Italia ya mwaka wa 1966. [1] Alifariki baada ya kuanguka mnamo Februari 2021 akiwa na umri wa miaka 77. [2] He died after suffering a fall in February 2021 at the age of 77.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Giovanni Knapp". Cycling Archives. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-01-29. Iliwekwa mnamo 15 Mei 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Giro d'Italia 1966". Cycling Archives. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-01-29. Iliwekwa mnamo 15 Mei 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Addio Knapp, l'unico bellunese ad avere vinto una tappa al Giro
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Giovanni Knapp kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |