Nenda kwa yaliyomo

Gift Orban

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gift Emmanuel Orban (alizaliwa 17 Julai 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Nigeria, ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Olympique Lyonnais inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa na timu ya taifa ya Nigeria.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gift Orban kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.