Nenda kwa yaliyomo

Giannis Antetokounmpo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Giannis Antetokounmpo akiwa anachezea timu ya kikapu ya Milwaukee Bucks mwaka 2018

Giannis Sina Ougko Antetokounmpo (alizaliwa 6 Disemba 1994) ni mchezaji wa mpira wa kikapu kutokea Marekani anayeichezea timu ya Milwaukee Bucks katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu (NBA).

Alizaliwa Ugiriki na wazazi waliyotokea nchi ya Nigeria, alianza kucheza kikapu katika timu za vijana huko Filathlitikos, Athina. Mwaka 2011 alianza kucheza katika timu ya wakubwa. Mwaka 2013 alichaguliwa na timu ya Milwaukee Bucks


Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Giannis Antetokounmpo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.