Ghazaouet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mji wa Ghazaouet

Ghazaouet ni mji na manispaa huko nchini Algeria Jimbo la Tlemcen kaskazini magharibi mwa Algeria. Kulingana na sensa ya mwaka 2008 mji huo una idadi ya watu 33774[1] Hujulikana sana kwa samaki wake safi. Makadirio ya idadi ya watu inasemekana kuwa karibu elfu 40 na nakuendelea.[onesha uthibitisho] Mchekeshaji maarufu wa Algeria Abdelkader Secteur pia ni mkazi wa mji huo. Hapo zamani palijulikana kama Nemours.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag and map of Algeria.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ghazaouet kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.