Georgia Ellenwood

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ellenwood baada ya kushinda heptathlon kwenye Mashindano ya mwaka 2018 ya NCAA .
Ellenwood baada ya kushinda heptathlon kwenye Mashindano ya mwaka 2018 ya NCAA .

Georgia Lorraine Ellenwood (alizaliwa Agosti 1995) ni mwanariadha wa Kanada anayeshindana katika muunganiko wa riadha.[1]. Aliiwakilisha Kanada katika michuano ya IAAF_World_Indoor_Championships akamaliza akishika nafasi ya kumi na pia aliiwakilisha katika michuano ya Olimpiki huko Tokyo. Georgia Ellenwood ni bingwa mara nane katika NCAA Division I All-American, mwanariadha wa mwaka 2018 katika Big Ten Conference baada ya kuweka rekodi mpya ya ubora wake na Wisconsin Badgers school. CKWX NEWS 1130 huko British Columbia ilichapisha safari ya Ellenwood. Ellenwood ni mhitimu wa mwaka 2013 elimu yake ya upili[2]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Ellenwood alishindana kwenye 2020 Summer Olympics.[3][4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Georgia ELLENWOOD | Profile | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-01. 
  2. Howard Tsumura (2018-06-10). "Georgia Ellenwood: Four-time B.C. high school heptathlon champ caps NCAA Div. 1 career with a golden weekend". Varsity Letters (kwa en-CA). Iliwekwa mnamo 2021-10-01. 
  3. Paula Nichols (2021-07-03). "Team Canada to have 57 competitors in athletics at Tokyo 2020". Team Canada - Official Olympic Team Website (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2021-10-01. 
  4. https://www.cbc.ca/sports/olympics/summer/trackandfield/canadian-olympic-athletics-team-july-3-1.6089148
  5. "Athletics ELLENWOOD Georgia - Tokyo 2020 Olympics". olympics.com (kwa en-us). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-01. Iliwekwa mnamo 2021-10-01. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Georgia Ellenwood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.