George Mlawa
Mandhari
George Mlawa (amezaliwa Mkoa wa Iringa) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM na Katibu Mstaafu wa Bunge la Tanzania. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Kalenga kwa mwaka 2000 – 2010. [1] [2] [3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ MFAHAMU KATIBU WA BUNGE MSTAAFU GEORGE MLAWA | KUZALIWA | KAZI | KUSTAAFU., iliangaliwa Juni 2023
- ↑ Former Clerk to the National Assembly: 'Lax oversight by MPs foments corruption', iliangaliwa Juni 2023
- ↑ Watumishi wa Ofisi ya Bunge wapewa mafunzo, iliangaliwa Juni 2023
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu George Mlawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |