Nenda kwa yaliyomo

George Khaniri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

George Khaniri ni mwanasiasa wa Kenya na mwanachama bunge la taifa la amani (ANC) na alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwakilisha eneo bunge la Hamisi katika bunge la Taifa la Kenya mnamo 1996 kwa uchaguzi baada ya kifo cha baba yake, Khaniri Snr. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Members Of The 10th Parliament Archived Juni 16, 2008, at the Wayback Machine. Parliament of Kenya. Accessed June 19, 2008.