Nenda kwa yaliyomo

Gbenga Adeyinka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gbenga Adeyinka

Gbenga Adeyinka (Alizaliwa 7 Mei 1968) ni mwigizaji, mchekeshaji, mtangazaji wa runinga, muandishi na mshereheshaji wa Nigeria aliyekulia Abeokuta, jimbo la Ogun huku akipenda kujiita kama mchekeshaji kinara wa Nigeria.[1]

Gbenga Adeyinka alisoma katika chuo kikuu cha Lagos, ambako alisomea lugha ya Kiingereza.[2]

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Gbenga Adeyinka amemuoa Abiola Adeyinka, na wana watoto watatu.[3]

Maisha ya kazi

[hariri | hariri chanzo]

Gbenga hufanya kazi ya kusherehesha katika sherehe nyingi za harusi hata nje ya Nigeria, na ndie mtu wa kwanza kuchapisha gazeti la vichekesho nchini Nigeria, liitwalo Laffmattazz.

  1. https://www.vanguardngr.com/2014/12/gbenga-adeyinka-versatile-mc-path-greatness/amp/
  2. Amagiya, Florence. "Gbenga Adeyinka: Versatile MC on the path of Greatness". vanguardngr.com. Vanguard Newspaper. Iliwekwa mnamo 21 Oktoba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Ezzina, Bosah. "Gbenga Adeyinka's Wife, Abiola Reflects On Her Life @ 50 + Their 21yr Marriage". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-12-01. Iliwekwa mnamo 21 Oktoba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gbenga Adeyinka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.