Nenda kwa yaliyomo

Gasherbrum IV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Gasherbrum IV

Gasherbrum IV ni mlima wenye kimo cha m 7,925 juu ya usawa wa bahari.

Ni sehemu ya safu ya milima ya Karakoram. Uko kati ya Pakistan na China.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gasherbrum IV kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.