Ganga lya Ndefu
Mandhari
Ganga lya Ndefu (Mwamba wa Matalawe) ni jabari au jiwe kubwa ambalo linapatikana mjini Njombe katika kata ya Matalawe.
Wakazi wanaolizunguka jiwe hilo hujishughulisha nalo kwa upondaji kokoto ili wajipatie kipato cha kukidhi mahitaji yao ya msingi ya kila siku mara baada ya kuuza.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Njombe bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ganga lya Ndefu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |