Gabriele C. Hegerl

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gabi Hegerl
Gabriele Hegerl katika siku ya uandikishaji ya Royal Society huko London, Julai 2018.

Gabriele Clarissa Hegerl (alizaliwa 9 Januari 1962) ni mkufunzi wa masuala ya hali ya hewa katika chuo kikuu cha Edinburgh School of GeoSciences [1][2].

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Hegerl alisoma katika Chuo Kikuu cha Ludwig Maximilian huko Munich ambapo alitunukiwa shahada ya uzamivu mwaka 1991; pia aliongoza katika mtihani juu ya uelewa wa mambo ya hali ya hewa mwaka 2006.mwaka 1991[3] ambapo nadharia yake ilitumika katika milinganyo ya Navier-Stokes .[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Gabriele C. Hegerl". scholar.google.com. Iliwekwa mnamo 2023-05-23. 
  2. "Gabi Hegerl". University of Edinburgh Research Explorer (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-05-23. 
  3. 3.0 3.1 Kigezo:Cite thesis
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gabriele C. Hegerl kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.