Nenda kwa yaliyomo

Fyuzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fyuzi ilivyo.

Fyuzi (kutoka Kiingereza fuse) ni kifaa cha usalama kinachotumiwa katika mifumo ya umeme kuzuia mkondo wa umeme mkali (excessive electricity current) ambao unaweza kuharibu vifaa vya umeme au kusababisha hatari ya moto.

Fyuzi ni waya mdogo ambao hufanya kazi kwa kuvunjika au kuyeyuka kwa sababu ya mkondo wa umeme mkali, hivyo kuzuia umeme usiendelee kufika kwenye vifaa vilivyowekwa nyuma yake.

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.