Fungu la Kipepeo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Fungu la Kipepeo

Fungu la Kipepeo ni fungunyota katika kundinyota la Nge.

Jina lake linatokana na kufanana kwa umbo na kipepeo. Aina ya Trumpler ya II 3 r inamaanisha kwamba lina nyota nyingi sana. Liko 3.5° kaskazini magharibi mwa Messier 7 na kaskazini mwa mkia wa Nge.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fungu la Kipepeo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.