Frenkie de Jong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Frenkie de Jong

Frenkie de Jong (alizaliwa 12 Mei 1997) ni mchezaji wa Uholanzi ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Hispania Barcelona F.C. na timu ya taifa ya Uholanzi.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frenkie de Jong kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.