Freedom Nyamubaya
Mandhari
Freedom Nyamubaya (1958 - 5 Julai 2015) alikuwa mshairi, mchezaji muziki, mkulima, mpigania haki za wanawake, na mwanamapinduzi kutoka Zimbabwe[1][2] Anajulikana kama mmoja wa washairi maarufu wa "washairi wapiganaji wa guerilla" wa Zimbabwe, akiwa na mikusanyo miwili ya mashairi yake yaliyochapishwa. [3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Quist-Arcton, Ofeibea (8 Aprili 2007). "From Zimbabwe, One Voice of 'Freedom'". National Public Radio (NPR). Iliwekwa mnamo 25 Mei 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Phiri, Brenda (8 Julai 2015). "War Veterans, Writers Mourn Nyamubaya". The Herald. Iliwekwa mnamo 26 Mei 2016.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Remembering fighter-poet Freedom Nyamubaya". Newsday. Zimbabwe. 8 Julai 2015. Iliwekwa mnamo 25 Mei 2016.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Freedom Nyamubaya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |