Frederick Chiluba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search


Frederick Jacob Titus Chiluba (Aprili 30, 1943 - Juni 18, 2011) alikuwa mwanasiasa wa Zambia ambaye alikuwa Rais wa pili wa Zambia kutoka mwaka 1991 hadi 2002.

Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frederick Chiluba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.