Frankie Allen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Frankie Allen
Frankie Allen

Frankie Allen alizaliwa Aprili 7,1949. Alizaliwa Charlottesville, Virginia. Ni kocha katika chuo cha American Men's college basketball. Amewahi kuwa kocha mkuu katika chuo cha Virginia Tech, Tennessee na Howard.